Nyaraka za Petro #00

Na Dr. Robert Dean Luginbill
Wa https://ichthys.com

Tafsiri ya Kiswahili na Respicius Luciani Kilambo

Ruksa ya Tafsiri Hii ya Kiswahili Imetolewa Mahususi na Dr. R. D. Luginbill
Permission For This Kiswahili Translation Has Been Kindly Granted By
Dr. R. D. Luginbill

“Sasa, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi wetu, Yesu Kristo”. 2Petro 3:18

Vichwa vya Masomo

Somo #01: Utangulizi: Kupambana na Mkakati/Hila za Shetani
Somo #02: Tatizo la Mateso au Shida za Wakristo
Somo #03: Ule Mpango wa Mungu
Somo #04: Aina za Mateso
Somo #05: Sababu za Kuteseka Kwa Wakristo
Somo #06: Neema Katika Mateso
Somo #07: Huduma ya Roho Mtakatifu
Somo #08: Matokeo ya Uteule Wetu
Somo #09: Imani na Damu ya Yesu Kristo
Somo #10: Kukua Kiroho, Somo la Awali
Somo #11: Ufunuo wa Mungu katika Uumbaji na Katika Yesu Kristo
Somo #12: Fundisho-fumbo la Mpanda Mbegu
Somo #13: Utakaso
Somo #14: Imani na Kukua Kiroho
Somo #15: Kuungama Dhambi
Somo #16: Uongozi wa Roho Mtakatifu
Somo #17: Kuiga Yesu Kristo
Somo #18: Thawabu za Milele
Somo #19: Kuzaliwa Upya Kiroho
Somo #20: Ufufuo
Somo #21: Ustahamilivu wa Imani
Somo #22: Mitihani ya Imani Yetu
Somo #23: Kuona kwa Macho ya Imani
Somo #24: Nguvu Zinazoendesha Imani
Somo #25: Mateso ya Muumini
Somo #26: Dhiki Binafsi na Matokeo Yake kwa Wakristo
Somo #27: Kanuni Tatu za Uwongo Zinazotishia Imani
Somo #28: Wokovu na Ufunuo Endelevu
Somo #29: Kupigana Kikristo & Vita ya Kiroho
Somo #30: Utakaso Duniani: Kujilinda Kikristo
Somo #31: Mtazamo wa Kikristo, Duniani na Mbinguni
Somo #32: Changamoto Tuliyopewa: Kukua Kiroho
Somo #33: Analojia Tatu za Maisha ya Kikristo