Maana halisi ya “Roho aona wivu” katika Yakobo 4:5

Vita ya Kiroho:
Mwongozo wa Mkristo katika Kupambana na Dhambi

By Bartek Sylwestrzak

Kumbukumbu la Torati 13:10:- “MTAMPIGA KWA MAWE MPAKA AFE …….”
Adhabu ya dhambi ya ibada ya sanamu katika Israeli ya Kale

KUMWABUDU MUNGU / IBADA SAHIHI KWA MUNGU

KIONGOZI WA TAIFA AMBAYE NI CHAGUO LA MUNGU TUNAMTAMBUAJE? ANAPATIKANA VIPI?

Nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo!

Maana ya WOKOVU au KUZALIWA UPYA
Original Writing in English by Bartek Sylwestrzak

MAFUNDISHO KUHUSU KARAMA / VIPAJI / ZAWADI ZA ROHO MTAKATIFU

Na Respicius Luciani Kilambo

WAKILI WANGU

“Sasa, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi wetu, Yesu Kristo”. 2Petro 3:18

Waraka wa kwanza wa Mtume Petro ni wito kwa Mkristo akue kiroho. Katika waraka huu, Petro anaonyesha jinsi tatizo la shida za maisha linavyoweza kumwondoa Mkristo katika msitari wake/njia ya imani. Katika

Waraka wa kwanza wa Mtume Petro ni wito kwa Mkristo akue kiroho. Katika waraka huu, Petro anaonyesha jinsi tatizo la shida za maisha linavyoweza kumwondoa Mkristo katika msitari wake/njia ya imani.

Mtume Petro alikuwa anawaandikia Wakristo waliokuwako Asia Ndogo ambao walikuwa waumini kwa muda mrefu tu, lakini ambao walianza kutoka nje ya msitari wa Mpango wa Mungu na malengo ya Mungu katika maisha yao.

Mtume Petro aliwaandikia barua mbili waumini waliokuwa wakiishi Asia Ndogo wakati ule wa karne ya kwanza –

Petro, Mtume wa Yesu Kristo, kwa wateule ambao japo wametengwa na kutawanywa katika Ponto, Galatia, Kapadokia, Asia na Bithinia;

Petro, Mtume wa Yesu Kristo, kwa wateule ambao japo wametengwa na kutawanywa katika Ponto, Galatia, Kapadokia, Asia na Bithinia;

Pages