• Mwanzo
  • KUHUSU MIMI & TOVUTI
  • Masomo
  • Mawasiliano
SAYUNI
Masomo ya Biblia kwako Mkristo ili ukue kiroho.
  • Yohana 14.6

    Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • Luka 9:23

    Akawaambia wote, Mtu ye yote akitaka kunifuata, [1] na ajikane mwenyewe, [2] ajitwike msalaba wake kila siku, [3] anifuate. (Soma pia: Mathayo16:24; Marko 8:34)

  • 2Timotheo 4:3-4

    Kwani wakati unakuja ambapo hawatapenda [kusikiliza] mafundisho/kanuni sahihi na badala yake, katika kutamani kukunwa masikio yao [yanayowasha], watajikusanyia kwa njia zao wenyewe waalimu watakaoridhisha tamaa [zao]. Nao watageuza masikio yao kutoka katika ile kweli, na kupenda kusikiliza hadithi za kutunga.

  • Yohana 21:15c

    [Bwana] Yesu Akamwambia [Petro] , Lisha wana-kondoo wangu.

  • Waefeso 2:8-9

    Kwa maana mmeokolewa kwa neema [ya Mungu], kwa njia ya imani [yenu katika Kristo]; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa [cha bure] cha Mungu; [na] wala si kwa matendo [yenu], mtu awaye yote asije akajisifu.

Home

Kuhusu mimi & Tovuti
Nyaraka za Petro
Masomo ya Msingi
Masomo Mafupi
Maombi & Sala
Fasiri za Aya za Biblia
  • Mawasiliano
  • External Links

©   Sayuni. Haki zote zimehifadhiwa.