Ifuatayo ni sehemu ya kwanza katika mfululizo wa mafundisho ya ufafanuzi wa aya za Biblia.

Waraka wa kwanza wa Mtume Petro ni wito kwa Mkristo akue kiroho. Katika waraka huu, Petro anaonyesha jinsi tatizo la shida za maisha linavyoweza kumwondoa Mkristo katika msitari wake/njia ya imani. Katika

Ufafanuzi (au Fasiri) wa Biblia sehemu ya II

Waraka wa kwanza wa Mtume Petro ni wito kwa Mkristo akue kiroho. Katika waraka huu, Petro anaonyesha jinsi tatizo la shida za maisha linavyoweza kumwondoa Mkristo katika msitari wake/njia ya imani.

Ufafanuzi (au Fasiri) wa Biblia sehemu ya III

Mtume Petro alikuwa anawaandikia Wakristo waliokuwako Asia Ndogo ambao walikuwa waumini kwa muda mrefu tu, lakini ambao walianza kutoka nje ya msitari wa Mpango wa Mungu na malengo ya Mungu katika maisha yao.

Mtume Petro aliwaandikia barua mbili waumini waliokuwa wakiishi Asia Ndogo wakati ule wa karne ya kwanza –

Petro, Mtume wa Yesu Kristo, kwa wateule ambao japo wametengwa na kutawanywa katika Ponto, Galatia, Kapadokia, Asia na Bithinia;

Petro, Mtume wa Yesu Kristo, kwa wateule ambao japo wametengwa na kutawanywa katika Ponto, Galatia, Kapadokia, Asia na Bithinia;

Katika kuhitimisha utangulizi wa kanuni za mateso, tuliona kwamba moja kati ya njia kuu ambazo Mungu anazitumia kuwasaidia Wakristo wa leo kustahamili na kuvumilia ni kwa usaidizi usioonekana (kwa macho ya kimwili) wa Roho Mtakatifu.

Tumeona kwamba kama Wakristo, sisi ni wateule au tuemchaguliwa na Mungu maalum kuwa watu Wake.

Katika somo lililopita tulizungumzia maelezo ya hatua tatu za hadhi yetu kama “wateule tuliotengwa”.

Katika masomo ya nyuma, tumeona jinsi Petro alivyoanza barua yake ya kwanza kwa kuwakumbusha wasomaji wake kuhusika kwa karibu kabisa kwa Nafsi zote tatu za Utatu Mtakatifu katika maisha ya kila Mkristo.

Ufunuo wa Mungu katika Uumbaji na Kwa Njia ya Yesu Kristo:
Nyaraka za Petro #11

Fundisho-fumbo la Mpanzi: Nyaraka za Petro #12

Pages